Hafla ya kuwazawadia wanafunzi vinara wa NECTA 2021
Shughuli kuu ya mfuko ni kuhamasisha, kusaidia na kutoa msukumo kwenye miradi na shughuli katika nyanja za mbalimbali za kijamii na kuondoa umasikini kadiri wadhami watakavyoona yafaa.