Hafla ya kuwazawadia wanafunzi vinara wa NECTA 2021
Hafla ya kukabidhi zawadi kwa Wanafunzi wa Kidato cha Nne waliopata Division One kwenye mitihani ya NECTA 2021. Meneja wa mfuko wa dhamana, Wafanyakazi wa mfuko wa Dhamana, Diwani wa Kata ya Nyamwaga (Waliosimama Juu) na (Waliosimama Chini) ni Wakuu wa Shule za sekondari zinazozunguka