Maonesho ya Mahusiano na Acacia North Mara
Meneja wa Mfuko wa Dhamana Mr. John Waigama akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga mwenye shati la Kitenge, Afisa Mahusiano wa Acacia North Mara, Richard Ojendo (wa kwanza kushoto) pamoja na General Manager wa Acacia North Mara walipotembelea Banda la mfuko wa Dhamana kwenye Maonesho ya Mahusiano na Acacia North Mara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ingwe Sekondari mwaka 2017